Hii ni mashetani au majini mahaba ya kichawi au yenyewe yamekuvaa tu
kwani yapo mengi sehemu kama za madampo, chafu, bafuni, mapango,
mashimo, ziwani, mitoni na kufugwa na washirikina wenye kumuasi Mungu
mmoja wa pekee.
Tumia dawa MT32 na Powerful Oil kujipaka utafukuza na kupona kwa Uwezo wa Mungu mmoja wa pekee
Kuna magonjwa siku hizi yanamshambulia mtu na akipata
vipimo hawaoni kitu na wanaamua wampatie madawa tu ya kupunguza maumivu
na anateseka saana mpaka tarehe yake ya kufa inawadia.
Magonjwa yasiyoonekana kwa vifaa vya kisayansi
- Kulogwa na kuwa na majini mwilini
- Kuwa kichaa kwa sababu ya kulogwa
- Kupotea mimba na hili hali ilikuwa inacheza na wala si
kuharibika
- Mimba kutoka mara kwa mara
- Mfumu wa hedhi kuwa usiokawaida kama kukaa siku nyingi na kutoka matone matone kiasi
- Kuingiliwa na kufanya tendo la ndoa usingizini na watu
au wanyama
- Kuhisi kitu kinacheza tumboni na kuhama kwa mwanaume au
mwanamke asiye na mimba
- Kuota unakula vitu usiku au unalishwa
- Ndoto za kutisha usingizini mpaka kuamka moyo unadunda
- Usiku kusikia watu wanakuita au wanatembea kwenye
nyumba yako
- Kuona mtoto unawaka chumbani na wala hujawasha umeme
wala hakuna radi ya mvua
- Kuchanjwa mwili na mikwaruzo kila mara ukiamka asubuhi
- Kuingia hedhini kusikoisha wala kukoma yaani mfululizo
kama mwezi au zaidi
- Kutingishika viungo vya mwili na kuhisi moto baadhi ya
viungo
- Kupata ganzi sehemu za viungo
- Kujihisi huna hali ya kuishi na kutamani kufa au
kujaribu kujiua
- Kuitwa jina lako na mtu haonekani
- Kutetemeka mkono au kiungo chochote
- Kugongwa kichwa upande mmoja
- Kuchukia mke wako au mme bila sababu ya msingi
- Kuona umbo sura ya mme au mke wako ya ajabu na
unachukia hata kuongea naye
- Kugombana na marafiki mpaka kila mtu anaona wewe haufai
kabisa na wanakuchukia bila sababu
- Ajali za mara kwa mara na kuponea chupu chupu
- Macho kushindwa kuona kazini au darasani lakini ukitoka
unaona vizuri
- Kusinzia wakati wa ibada na wakati wa vikao umuhimu
- Kuchukiwa na bosi na wafanyakazi wenzako na ili hali ni
mchapakazi na unajitahidi sana
- Kupenda maasi na kuona ya kawaida kama zinaa, pombe,
madawa ya kulevya
- Kutoshiba hata kama hauna minyoo, unapenda kila saa ule
kwani njaa inakuwa kama ugonjwa
- Ukipata kazi hufanyi na haupendi
- Biashara ukipata pesa na faida matatizo yanaingia kwa
kasi na pesa ikiisha basi
- Ukipata mshahara hali inakuwa ngumu na mikasa
inafuatana kiasi kwamba unahisi kuchanganyikiwa
- Kuhairisha mipango mizuri bila sababu mpaka unazeeka
unasema ningefanya ningefanikiwa lakini umechelewa
- Mwanamke kukauka sehemu za siri mpaka mke anachubuka na
mme wanapokuwa wako kwenye tendo la ndoa
- Kutoa harufu sehemu za siri na hata kama ni msafi
- kupata kinyesi kigumu kama cha Mbuzi hata ukinywa maji
mengi na kula matunda.
- Uume kuendelea kuwa mdogo kama wa mtoto na kulegea bila sababu za kisayansi
- Kuongea ndotoni na kupiga makelele
- Kugombana kwenye familia bila sababu za msingi na suluhu haipatikani
- Kusikia sauti
Powerful oil mafuta yenye nguvu kufukuza majini na kufukuza wachawi kukuchezea umelala
Dalili hizi hapa kama unazo kuanzia tatu basi uenda ukawa una majini au umelogwa
- Kuhisi vitu vinatembea mwilini
- Kuota ndoto za kutisha
- Kuota unafanya mapenzi na wanyama au watu
- Kupiga kelele na kuogopa mdotono yaani ndoto za kutisha
- Kufa ganzi baadhi ya viungo
- Viungo kuwaka moto kama miguu kuwa na joto au kupata ganzi
- Sehemu za kifua kubanwa na kuhisi vitu mgongoni vinatembea
- Kuingia hedhi kusiko pona na kupitiliza kawaida
- Kuhisi huna hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke au mme
- Kuona mke/mme mbaya sura na hili hali ulikuwa unamuona mzuri
- Ugomvi wa familia mara kwa mara bila sababu
- Kupenda sana kuzini na kuchukia kuoa au kuolewa
- Kulewa na maasi kuona ni tabia ya kwako na kawaida
- Kupata udhuru wa mambo muhimu na kuhisi uzito kufanya na hatimaye kujilaumu baada ya miaka kwa nini hukufanya na hapo umechelewa
- kifafa isiyo ya kawaida na ya ukubwani
- Kubana sehemu za siri kwa mwanamke wakati wa kuingiliwa na kuchubuka kama bikira mpaka kutoka damu na hili hali anazaa watoto
- Kutoka uchafu na harufu ya kutisha ukeni na hili hali ni msafi na hana ugonjwa wa zinaa
- Kuota unakojoa kitandani mara kwa mara
- Kuota uko sehemu chafu au bafuni
- Kuota uko makaburini mara kwa mara
- Kuota unakufa na kuzikwa
- Kuota unaongea na marehemu mara kwa mara
- Kuota ndoto za kweli na hili wewe si mcha Mungu wa vile
- Kupenda kukaa pekee yako na kukata tamaa kwa mambo madogo tu
- Kugombana na mke au mme na kupata hasira kali kwa jambo dogo na
hutaki yaishe ni kuyakuza mpaka week au zaidi chuki kubwa na jambo la
kawaida
- Kula bila kushiba na hili hali huna minyoo ukipima
- Kujisaidia kwa shida na kinyeshi kama cha mbuzi hata kama unakula matunda ndizi na kunywa maji mengi
- Kutoka mimba au kutopata mimba bila sababu za kisayansi zinazoonekan
- Kizunguzungu kama ubaridi na kutetemeka ghafula
- Kusinzia wakati wa sala na ibada au kwenye kikao muhimu
- Kuhisi hutaki kukaa kazini na hata kama unalipwa vizuri
- Mtoto kutopenda masomo bila sababu na hata akilazimishwa na uko nyuma alikuwa star na anapenda shule
- Kutoona darasani kwenye ubao au kwenye kitabu na ukitoka unaona vizuri na macho mazima kwa vipimo
- uzembe wa kusinzi hata asubuhi sana mpaka saa nne na jioni pia na kuona ni vizuri sana kulala muda wote wa kazi
- Kuchukiwa ma marafiki bila sababu au mwajiri wako au ndugu zako
Tiba
yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu
za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na
mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na
kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza
kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti
iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.
Dawa nyingine za kunywa ni hizi:
Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na
Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale
usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji
moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye
uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.
MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
- POWERFUL OIL
- MT32
- SAFISHA
MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO
MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU
NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA
TIBA.
1.POWERFUL OIL
HAYA MAFUTA YANATIBU:
- KUONDOA NGUVU ZA GIZA
- KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
- KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
- KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
- KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
- KUZUIA
WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA
KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA
YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
- KUONDOA HALI
YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI
NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA
NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32
DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.
UNATUMIA
KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI
YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
- UCHAWI ULIOKO MWILINI
- KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
- KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO
- KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
- MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
- KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
- KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO
3.SAFISHA
Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye
utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).
Sasa dawa hii ina faida hizi:
- Kupunguza uzito
- Kuondoa uchafu tumboni
- Kusaidia kupata choo
- Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
- Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA
KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1
BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3
UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI
Baada
ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea
kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya
tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari
wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine
kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya
kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja
kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na
kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu
na magumu kutibu hospitalini.
Kama
umepima hospitali na hakuna matokeo wala chanzo na unaendelea kuumwa basi
inaweza kuwa majini, uchawi na aina ya mapepo yaliyo kuvaa yenyewe au kutumwa
kwa wanadamu wabaya wenye husuda na wivu dhidi ya ndugu au rafiki anapofanikiwa
kwa hali moja au nyingine.
Sisi
kwa uwezo wa Mungu mmoja tutakupa ushauri, tiba na muongozo kwani hakuna ugonjwa
usiokuwa na tiba kwa Uwezo wake Mungu mmoja wa pekee anasaidia kuwaonyesha dawa
waja wake kwa njia mbali mbali.
Mawasiliano: Upate huduma
Email:tibaherbs@gmail.com