Wednesday, December 28, 2011

Majini na wachawi vimeongezeka

Watu wanaua Albino, wanakata viungo, wanazika watoto wachanga, wanaua watu na kuchukua mali zao, wanawamwagia tindikali wenzao kwa visasi, wanawaloga wenzao kwa wivu na husuda.

Yote haya ni kazi ya shetani na makundi yake, kwani dunia ya sasa ukatae au ukubali uchawi si siri tena ni kama malaria tatizo ila malaria inadawa na vipimo na serikali wanasaidia kutibu na kutoa madawa na elimu kuhusu kinga.

Uchawi sasa unafundishwa kweney internet huko Ulaya na America na Asia wazi wazi ila Africa bado ni siri tu. Wachawi wanajigamba Ulaya kama wataalamu na wana vyama kama WICCA, Freemson ingawa imesajiliwa kama NGO ya kimataifa lakini ina siri za walioko juu za kishirikina na matambiko ya kafara kumfurahisha shetani LUCIFER

Dawa na tiba kama una dalili hizi:-

  • Kuhisi vitu vinatembea mwilini
  • Kuota ndoto za kutisha
  • Kuota unafanya mapenzi na wanyama au watu
  • Kupiga kelele na kuogopa mdotono yaani ndoto za kutisha
  • Kufa ganzi baadhi ya viungo
  • Viungo kuwaka moto kama miguu kuwa na joto au kupata ganzi
  • Sehemu za kifua kubanwa na kuhisi vitu mgongoni vinatembea
  • Kuingia hedhi kusiko pona na kupitiliza kawaida
  • Kuhisi huna hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke au mme
  • Kuona mke/mme mbaya sura na hili hali ulikuwa unamuona mzuri
  • Ugomvi wa familia mara kwa mara bila sababu
  • Kupenda sana kuzini na kuchukia kuoa au kuolewa
  • Kulewa na maasi kuona ni tabia ya kwako na kawaida
  • Kupata udhuru wa mambo muhimu na kuhisi uzito kufanya na hatimaye kujilaumu baada ya miaka kwa nini hukufanya na hapo umechelewa
  • kifafa isiyo ya kawaida na ya ukubwani
  • Kubana sehemu za siri kwa mwanamke wakati wa kuingiliwa na kuchubuka kama bikira  mpaka kutoka damu na hili hali anazaa watoto
  • Kutoka uchafu na harufu ya kutisha ukeni na hili hali ni msafi na hana ugonjwa wa zinaa
  • Kuota unakojoa kitandani mara kwa mara 
  • Kuota uko sehemu chafu au bafuni
  • Kuota uko makaburini mara kwa mara
  • Kuota unakufa na kuzikwa
  • Kuota unaongea na marehemu mara kwa mara
  • Kuota ndoto za kweli na hili wewe si mcha Mungu wa vile
  • Kupenda kukaa pekee yako na kukata tamaa kwa mambo madogo tu
  • Kugombana na mke au mme na kupata hasira kali kwa jambo dogo na hutaki yaishe ni kuyakuza mpaka week au zaidi chuki kubwa na jambo la kawaida
  • Kula bila kushiba na hili hali huna minyoo ukipima
  • Kujisaidia kwa shida na kinyeshi kama cha mbuzi hata kama unakula matunda ndizi na kunywa maji mengi
  • Kutoka mimba au kutopata mimba bila sababu za kisayansi zinazoonekan
  • Kizunguzungu kama ubaridi na kutetemeka ghafula
  • Kusinzia wakati wa sala na ibada au kwenye kikao muhimu
  • Kuhisi hutaki kukaa kazini na hata kama unalipwa vizuri
  • Mtoto kutopenda masomo bila sababu na hata akilazimishwa na uko nyuma alikuwa star na anapenda shule
  • Kutoona darasani kwenye ubao au kwenye kitabu na ukitoka unaona vizuri na macho mazima kwa vipimo
  • uzembe wa kusinzi hata asubuhi sana mpaka saa nne na jioni pia na kuona ni vizuri sana kulala muda wote wa kazi
  • Kuchukiwa ma marafiki bila sababu au mwajiri wako au ndugu zako


Tiba yake ni kuwa unajipaka mafuta haya Powerful Oil na hii itafukuza nguvu za giza na negative energies zote zitaondoka na utahisi mwepesi na mwenye akili nzuri za kutafakari.
Unajipaka usoni, kifuani na kichwani kila siku mpaka unaposikia umekuwa sawa hasa siku saba utaanza kuwa sawa kwa uwezo wa Mungu uliopo ndani ya mafuta haya na miti iliyotoa mafuta na dawa zilizomo.

Dawa nyingine za kunywa ni hizi:

Madawa haya yanatokana na mitishamba mbali mbali ya Africa na Mashariki ya Kati na yanatibu magonjwa mengi unayo yajua na yale usiyojua. Madawa haya ni unga umesagwa na ni rahisi kutumia kwenye maji moto au asali na hakuna kemikali yoyote. Powerful oil ni mafuta yenye uwezo mkubwa wa kufukuza na kuzuia nguvu za giza za aina zote.


 MADAWA HAYA KWA MAJINA NI:
  1. POWERFUL OIL
  2. MT32
  3. SAFISHA

MADAWA HAYA YA ASILI NA HAYANA KEMIKALI YOYOTE NA MADAWA YENYE UWEZO MKUBWA ALIOWEKA MWENYEZIMUNGU KATIKA TIBA MBALI MBALI KWANI YAMEFANYIWA UTAFITI WA MUDA MREFU NA NI MITISHAMBA ZAIDI YA 30 IMECHANGANYWA, MAFUTA HAYO YANA NGUVU KUBWA YA TIBA. 

1.POWERFUL OIL


HAYA MAFUTA YANATIBU:

  • KUONDOA NGUVU ZA GIZA
  • KUSADIA KUFA GANZI KATIKA BAADHI YA VIUNGO, MIGUU KUWAKA MOTO
  • KUFUKUZA MAJINI NDANI YA MWILI
  • KUZUIA KUOTA NDOTO ZA KUTISHA
  • KUOTA UNAINGILIWA KIMAPENZI USIKU
  • KUZUIA WACHAWI KUINGIA NDANI YA NYUMBA YAKO KWA NGUVU ZA GIZA( JIPAKE KABLA YA KULALA MWILI MZIMA KIDOGO TU NA NYUNYUZIA KWENYE NYUMBA YAKO KILA BAADA YA MWEZI HASA KWENYE PEMBE , MADIRISHA NA MILANGONI)
  • KUONDOA HALI YAKUWA NA WASIWASI NA KUKATA TAMAA NA HALI YA KUCHANGAMKA(JIPAKE USONI NA KICHWANI NA KIFUANI NA UTAJISIKIA UNAKUWA NA HALI MPYA NA KUONGEZA NGUVU YA KUTOKATA TAMAA)
2.MT32

 DAWA HII INAITWA MT32 KWANI NI UNGA ULIOSAGWA KUTOKANA NA MITI 32 YA TIBA.

UNATUMIA KWENYE ASALI AU UNACHEMSHA NA KUNYWA NA INATIBU MAGONJWA MENGI YANAYOJULIKANA KWA VIPIMO NA YALE YASIYOJULIKANA KWA VIPIMO HASA HAYA:
  • UCHAWI ULIOKO MWILINI
  • KUHISI VITU VINATEMBEA MWILINI
  • KUHISI MWILI MZITO NA KAMA UMEBEBA MZIGO 
  • KUISHIWA NGUVU NA VIPIMO HAVIONYESHI CHANZO
  • MISHIPA YA UZAZI KUHISI INAUMA NA CHANZO HUKIJUI
  • KUHISI KUNA VITU VINATEMBEA JUU YA NGOZI
  • KUHISI MOYO UNAJITINGISHA NA BAADHI YA VIUNGO




3.SAFISHA

 Dawa ni mitishamba na inasafisha mafuta yaliyoko mwilili na kwenye utumbo mpana na mwembamba(small and large intestines kwa siku 3 mpaka 7).

Sasa dawa hii ina faida hizi:
  • Kupunguza uzito
  • Kuondoa uchafu tumboni
  • Kusaidia kupata choo
  • Kusafisha mishipa na kukupa afya imara kwani mfumo wa chakula ndo unasababisha upate afya nzuri.
  • Kama ulilishwa madawa ya uchawi yatatoka yote
 KWA WALE WANAOTAKA KUPUNGUZA UZITO NAO INAWASAIDIA SAMBAMBA NA KULA MILO ISIYO NA MAFUTA MENGI NA WANGA KWA WINGI. UKISHA TUMIA GLASS 1 BAADA YA MASAA KAMA SITA UNAHARISHA KWA KIASI FULANI NA MPAKA SIKU 3 UNAKUWA UMEPUNGUA NA WEWE MWENYEWE UTASIKIA UMEKUWA MWEPESI

Baada ya kuichemsha unakunywa na mnamo masaa 6 utaanza kuharisha na kuendelea kiasi unaharisha kawaida na kutoa uchafu, mafuta, na hata magonjwa ya tumboni, watu wasiopata choo na kinaganda nao wanatoa uchafu huu hatari wa kuozea tumboni na kusababisha vidonda vya tumboni na wakati mwingine kansa ya utumbo. Choo kinakuwa cha shida na mtu akienda chooni anakunya kama kinyeshi cha mbuzi na mwingine anakaa mpaka anapasua sehemu ya haja kubwa na kutoka damu. Hii ikiwa ya muda mredu mishipa hulegea na kusababisha sehemu ya ndani kutoka na hatimaye kupata magonjwa ya ajabu na magumu kutibu hospitalini.

OFISI YETU

TUNA OFISI YA USHAURI NA TIBA DSM.

KWA MAELEZO ZAIDI TUMIA MAWASILIANO HAYA:


Contacts:
Email: tibaherbs@gmail.com 

 +255764041507/+255717147649

Dar es Salaam, Tanzania.

No comments:

Post a Comment