Sunday, July 12, 2015

CCM yatangaza Mshindi wa Urais Bw. Magufuli

Magufuli Ndo kapita kama mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, hapa UKAWA wana kazi ngumu na si mtelemko walivyofikiri. Hongera CCM na Hongera Magufuli Rais Mtarajiwa

Matokeo halisi ya kura za wagombea kuto Mkutano Mkuu ni: Mh. John Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10%, Dk.Asha Migiro 3%

No comments:

Post a Comment